Kwa mwanamke yeyote au msichana yeyote mrembo anapaswa kupanga kabati
lake la nguo vizuri na kwa adabu,hapa namaanisha viatu vyake,nguo
zake,handbags zake na urembo wowote mwingine.
Inapendeza unaingia chumba cha mwanamke ni kisafi na kinavutia sio
mavitu yako ovyo ovyo tu viatu kule,bags uvunguni hata kama tunaufinyu
wa nafasi katika vyumba vyetu basi tuwe wabunifu kidogo.kamahauna sehemu
ya kutosha unaweza nunua stands kwa ajili ya kuweka handbags zako,nunua
shoerack kwa ajili ya kuweka viatu vyako,kabati dogo la nguo au hata
kasanduku kadogo inapendeza kwa kweli.

Vilevile kama una space ya kutosha arrange vitu vyako kwa ukubwa wa
nafasi tubadilike kidogo, pia tujifunze piga nguo pasi na kuweka sio
tunakusanya minguo haijapigwa pasi ,siku umeme umekatika tabu tupu,au
tunaweka viatu vichafu ndani ya nyumba haipendezi mtoto wa kike ,umevaa
kiatu chako kama kichafu umerudi home kifute ndio upange sio kiatu
unavulia mlangoni unaacha kinanyeshewa na mvua ndio unaleta ndani.
No comments:
Post a Comment