Tuesday, March 22, 2016

Mbunge Zitto Kabwe Amejiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Huduma ya Jamii

Mbunge Zitto Kabwe Amejiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Huduma ya Jamii kutokana na tuhuma  za Rushwa Kamati ya Bunge..




Mbunge Zitto Kabwe amewandikia Spika kumuomba achunguze na achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa.

No comments:

Post a Comment