Sunday, March 20, 2016

RC PAUL MAKONDA ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM UKUMBI WA MWALIMU NYERERE

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti wa mitaa na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kuhusu mambo mbalimbali hasa suala la usafi wa mazingira.


 Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.



Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.



 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.


 Mwakilishi wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji ili kutunza mazingira.





No comments:

Post a Comment