Tuesday, April 12, 2016

NAFASI YA KAZI TANZANIA GEOTHERMAL DEVELOPMENT COMPANY LIMITED (TGDC)

MANAGER PLANNING & PROJECTS (1 POST) POSITION DESCRIPTION:

1. INTRODUCTION
Tanzania' Geothermal Development Company Limited (TGDC) is a subsidiary company of The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) which was established in 'December 2013 for spearheading geothermal resources development Tanzania
2. OUR VISION
To be the most competitive geothermal resources development company serving today and future generations with reliable, affordable and environmental friendly energy.
3. OUR MISSION:
To offer reliable and efficient geothermal energy development services to support the nation's development vision.
4. MANDATES:'
TGDC is mandated:
• To carry out geothermal exploration including geo- logical, geochemistry, seismological, volcanological studies;
• To carry business In geothermal drilling for steam and hot water, well testing and logging, reservoir assessment and management;
• To mobilize funds for geothermal development from various sources;
• To promote geothermal business and developer of alternative uses of geothermal energy than electricity including watering cultures, therapeutic uses, geothermal bathing, drying of farm products and all industrial and non-industrial uses;
In order to achieve its goals, TGDC now invites applicants from suitable, qualified and well skilled persons to the positions mentioned hereunder;

Position: Manager Planning & Projects (1 Post) - Ref: TGDC/HRl025
Report to: Director Business Development
Directorate: Business Development
Job Purpose:
To plan development projects and overseeing their implementation including participating in the strategic planning process, business development, research and development, as well as packaging of major geothermal projects for power generation and direct applications.
Principal Duties & Responsibilities
• Planning development projects and programs and oversees their implementation in line with the mission and goals of the organization. Participate in project identification, planning, packaging, negotiation and monitoring the performance.
• Participates in the formulation of company strategy, short and long term plans, budgets, coordination, monitoring and evaluation of the results.
• Manage the department's business strategy, plans and their implementation
• Participates in soliciting funds from different sources for supporting the projects.
• Prepare plans-and budgets for the planning section.
• Review work performance of staff in the planning section including their development
• Provides leadership and ensure effective management of staff and resources and ensure good industrial/employee relations within the planning section.
• Perform any other related duties as assigned from time to time by the supervisor.
Minimum Qualifications & Experience
• Master's Degree in Engineering, Earth Sciences, Business, management, Economics or relevant field.
• Registration with ERB or member of a relevant professional body is an added advantage
• Minimum of three (3) years working experience in Project Planning in energy or related sector.
• At least two (2) years of working experience in Donor
• Funded Projects or International Organizations.

Desired Attributes & Competencies
• Must be visionary, proactive and forward looking,
• Must be innovative
• Must demonstrate highest degree of professionalism and integrity
• Team player and leader and command respect
• Leadership and people management skills
• Good relationship management skills
• Must be competent in planning and managing Donor Funded Projects
• Must be good at project proposals writing
• Must possess conceptual and analytical skills

TERMS OF, EMPLOYMENT:
Permanent & Pensionable including six months of probation for other positions than Manager Planning & Projects. Man- ager Planning & Projects will be on three (3) years renewable contract.
REMUNERATION:
.A competitive package (according to existing Salary Structure) will be offered to successful candidates.


APPLICATION INSTRUCTIONS:


GENERAL CONDITIONS:
• A detailed application letter, clearly stating why you should be considered for the position, strategic projects/activities that you have executed in your previous employment and how you will add value to TGDC
• Applicants must be Tanzanians and not above 45 years of age
• Applicants much attach up-to-date Curriculum Vitae (CV) with reliable contacts, three referees (two must be work related)
• A detailed Curriculum Vitae, copies of relevant certificates) testimonials and contacts of two reliable Referees.
• Applicants must attach their copies of academic certificates
• Testimonials and provisional results/results slips will not be accepted
• Certificates from foreign academic institutions must be' >. verified by Tanzania Commission of Universities (TCU)
• Only shortlisted candidates will be contacted
• Applications should be in English
• Application must be supported by passport size photo
• Women are highly encouraged to apply-

Deadline: Applications should be submitted to the address below, not later than 26th April 2016.
THE GENERAL MANAGER
TANZANIA GEOTHERMAL DEVELOPMENT COMPANY LTD
P.O.BOX 14801
DAR ES SALAAM

NAFASI YA KAZI WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

COORDINATOR - INTERNATIONAL EPIDEMIOLOGY DATA BASE TO EVALUATE AIDS POSITION DESCRIPTION:

ADVERTISEMENT FOR VACANCY
Specific Responsibilities:
• Maintain communications between participating sites and co-investigators within Tanzania as well as between sites and co-investigators in the East African leDEA Consortium both in East Africa and in the United States.
• Coordinate and conduct Site visits for/with the leDEA PIs and Co-PIs, within Tanzania
• Prepare, submit and track Institutional Research and Ethics Committee (IREG) submissions and general paperwork required by the Tanzanian and US Governments and Indiana University.
• Facilitate the annual East African Data Merger by contacting and coordinating site submission of data
• Assess data quality at institute data quality improvement programs in conjunction with the National AIDS Control
• Programme (NACP) Tanzania and function as liaison between the NACP and other leDEA co-investigators both East African and America.
• Issue monthly reports on Data Quality to the Tanzania National AIDS Control Programme.
• Other duties as assigned.
The Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC) through the National AIDS Control Programme with support from leDEA is looking to recruit one suitable candidate to fill the following vacant post.
The successful candidate will work under contractual agreement for a period of one year with a possibility of renewal.
Position Title: Coordinator - International Epidemiology Data Base to Evaluate AIDS (leDEA)
Reports to: Head- EpidemiOlogy Unit, NACP
Duties
Under the guidance and supervision of Head Monitoring and Evaluation Unit of NACP, the incumbent will coordinate all leDEA project activities as per specific responsibilities hereunder.

Qualifications and experience:
• Bachelor's Degree: Information Technology, Health Sciences, Environmental Sciences, or Biostatistics preferred
• Computer and internet literate
• Excellent understanding of data quality issues
• Fluent in English and Kiswahili
• Excellent organizational skills
• Strong interest in Research
• Excellent oral and written communication skills in English and Kiswahili
• Excellent interpersonal skills
• Highly committed on task completion.
• Ability to work independently and as part of a team
• Age below 45 years
• Citizen of the united Republic of Tanzania
• Minimum of three year’s experience working on database management
• Excellent computer skills.
Work Environment
• Immediate Supervisor, National leDEA PI at National AIDS Control Programme Tanzania
• Accountable to the East African leDEA Regional Co-Principal Investigators and their representatives.
Salary
The post carries competitive package depending on the candidate qualification and work experience. Interested candidate should submit a cover letter with resume CV, including two referees.
Duty station
Dar es Salaam.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

The Ministry of Health, Community Development, Gender,
Elderly and Children - National AIDS Control Programme is an equal opportunities employer and these positions are open to all, but ONLY qualified candidates should submit a CV; certified copies of relevant certificates and a cover letter explaining how the experience detailed in the CV will contribute to the requirements of the position and three referees to the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, National AIDS Control Programme.
INTERVIEW:
Only short listed applicants will be called for an interview on date, time and venue to be decided later. Those who will not hear from us by then should consider themselves as unsuccessful.
Application letters should be submitted to the undersigned address before 25th April, 2016.


Permanent Secretary,
Ministry of Health, Community Development, Gender,
Elderly and Children,
6 Samora Machel Avenue,
P. O. Box 9083,
11478 Dar es Salaam

MAGAZETI YA LEO APRIL 12, 2016

Monday, April 11, 2016

NAFASI YA KAZI OFISI YA MSAJILI MKUU WA HAZINA ( Office of the Treasury Registrar -OTR)




Application Deadline: 20 Apr 2016
ECONOMIST II POSITION DESCRIPTION:

Source Mwananchi,8TH April 2016

The Office of the Treasury Registrar (OTR) was established as a Corporation Sole under the Treasury Registrar Ordinance Chapter 418 of 1-959 and Treasury Registrar .(Powers and Functions) Act CAP.370 of 2002 as amended in 2010. The Office is responsible for holding all investments 3. comprised of paid up capital of Public and Statutory Corporations as well as in private investments where the Government owns shares or interests in trust for the President and for the purposes of the Government of the .(a) United Republic of Tanzania. Previously, OTR existed as a Division under the Ministry of Finance. Currently, it is an autonomous Office implementing its roles and functions in supervising Public and Statutory Corporations (PSCs). .
The Office of the Treasury Registrar now invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant position:
 
Job Title: Economist II
Report to: Head of Planning Unit
Post: 1 (One)

Entry qualification
Holder of Bachelor Degree in statistics, Economics, Planning or its

(b) Key Duties and Responsibilities
i. To compile budget estimates of Public and Statutory corporations' according to issued budget framework guideline;
ii. To prepare office contributions to the Budget Speech and Annual and Annual Economic Report;
iii. Compile Treasury Registrar's projects, work plans and monitor implementation;
iv. To review Plcs strategic and business plans;
v. To review and recommend on PICs Action Plans;
vi. To propose strategies for improving performance;
vii. To carry out other duties related to his/her field as assigned by immediate supervisor.

(c) Office Tenure: Permanent and Pensionable
(d) Salary Scale: TRSS 4


NB: GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old
ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae” (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers;
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement;
iv. Applicants must attach their detailed 'relevant certified copies of academic certificates:
Postgraduate/ Degree/ Advanced Diploma/ Diploma/ Certificates,
Postgraduate/ Degree/ Advanced Diploma/ Diploma transcripts,
Form IV and form VI National Examination Certificates,
Computer Certificate
Professional Certificates from respective boards.
v. . FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED;
vi. Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted;
vii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action;
viii. Applicants employed in the public service should route their application letters through their respective employers;
ix, Applicants who have/ were retired from the Public Service for whatever reason should not apply;
x. Applicants should indicate three reputable referees with their, reliable contacts;
xi. Certificates from Foreign Examination Bodies for Ordinary or Advanced Level Education should be certified by The National'
Examination Council of Tanzania (NECTA);
xii. Certificates from Foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU);
xiii. The attachments shall include one recent passport size photo; certified copies of academic certificates, transcripts and the applicant's birth certificate; this shall also include submission of certificate or application of registration by VCT or MCT;
xiv. Applicants with special needs/ case (disability) ~re supposed to indicate;
xv. Women are highly encouraged to apply;
xvi. Only short listed candidates will be informed on a date for interview; and
xvii. Application letters should be written in Swahili or English.
 


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Individual who meet the above requirement may apply to the address below not later than 20th April, 2016 (1530hrs).
Treasury Registrar,
Office of Treasury Registrar,
33 Samora Machel Avenue
P. O. Box 3193, 11104 DAR ES SALAAM.

Friday, April 8, 2016

BAJETI 2016/17 ISISAHAU WALEMAVU


 Wito huo umetolewa leo na Josephine Bakhita, Ofisa Ustawi wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Erick inayojihusisha na watu wenye ulemavu wa akili (EMFRED) wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Bakhita ambaye pia alikuwa na mtoto mwenye ulemavu huo Erick Bakhita na kufariki dunia, ameeleza kuguswa na kuamua kufungua kituo hicho ili kusaidia jamii ya walemavu hao.
Bakhita amesema kuwa, jamii hiyo imekuwa haifikiwi kwa haraka na kwamba, hata watunga sera bado hawajaanza kuangalia mbinu za kuwaibua na kuweka utetezi juu yao ili waweze kupata haki zao za msingi kama wanadamu wengine wanavyopata.

Amesema kuwa, tangu taasisi hiyo ianzisha Mei 2011 hadi Desemba 2015 tayari imeweza kusajili familia 637 zenye jamii ya walemavu katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Gairo na Mvomero.
“Kilio changu kikubwa ni kwa walemavu hasa wa akili, ni kundi kubwa linalotengwa na kuminywa kwenye jamii kutokana na wazazi husika kutokuwa na elimu na serikali kutolivalia njuga suala hilo,” Amesema.

Esther Andrew (40), Mkazi wa Malolo, Kilosa ambaye ni mama wa mtoto Grace Emmanuel (15) mwenye ulemavu wa akili kituoni hapo ameiomba serikali kusaidia kituo hicho.

UNACHOTAKIWA KUFANYA PALE UNAPOANZISHA BIASHARA



Najua nazungumza na mabilionea wakubwa, kama si mabilionea wa sasa, basi ni mabilionea wa baadaye. Wewe ni bilionea, nakutamkia hili na unatakiwa kuamini pasipo kujali kwamba kwenye akaunti una shilingi elfu moja au chini ya hapo, unachotakiwa kuamini kwamba wewe ni bilionea.
Inawezekana umeanzisha biashara yako, kitu cha ajabu kabisa, fedha hazikai, kila ukipata leo, kesho hazipo, ili kuendesha biashara yako inakupasa kukopa sehemu, ni kweli ulipata faida, ila kwa nini ukope? Kopa wakati ukitafuta mtaji, ila kama umeshafanya biashara na faida ukapata, kwa nini ukope? Kwa nini usitumie faida uliyoipata kukuinua hapo ulipo?
Wengi wanakutana na hali hiyo, si wewe tu, hata mimi nilishawahi kukutana nayo, na si sisi tu, amini hata mabilionea wakubwa walishawahi kukutana na hali hiyo. Hivi unajua ni mabilionea wangapi waliwahi kufilisika? Unamjua Muitaliano Enzo Ferrari? Alipata fedha, akafilisika, akagundua alipofanya makosa, akatafuta tena, akazipata.
Wewe kama binadamu wengine, unaweza kupata fedha na kufilisika, hapa siwazungumzii wakina Bakhresa, Mengi na wengineo, nakuzungumzia wewe mwenye biashara ndogo, nataka biashara yako ikue, utoke hapo ulipo na usogee mbele zaidi, ufanikiwe na siku moja uitwe bilionea Omari, Selemani, John, Hamisi, Sara, Anna, Peter au jina lolote ulilokuwa nalo.
Hizi ni baadhi ya njia ambazo zinaweza kukusaidia kufikia ubilionea japokuwa una biashara ndogo au kipato kidogo.

1. WEKA MALENGO
Kitu cha kwanza unachotakiwa kufanya kama mfanyabiashara ni kuweka malengo. Hebu chukua karatasi, andika malengo yako na kuyafanyia kazi. Kumbuka wewe ni bilionea, usiweke malengo ambayo unadhani kwamba pia ua utayafikia, ukiyaandika hayo, jua hautotoa nguvu kubwa kupambana ili uyafikie malengo hayo. Kama una mtaji mdogo, weka malengo makubwa ya kufanikiwa, unapoweka malengo makubwa zaidi ya ulichonacho kitakufanya ujitoe zaidi, uongeze juhudi ili kufikia kile unachokiwazia.
Mfano wewe ni mfanyabiashara mdogo, ukaweka lengo kwamba mpaka mwaka kesho lazima uanzishe biashara ya kuuza mahindi mitaani. Sawa, si vibaya lakini ulitakiwa kuweka malengo ya biashara kubwa zaidi. Kwa fedha hizohizo ulizokuwa nazo, unaweza kuanzisha biashara ya mahindi, ukijiwekea hivyo, jua kwamba unayachelewesha mafanikio yako. Ninataka ujitume kwa nguvu zote, ukiweka yale malengo makubwa, utajiona huwezi kufika lakini ndiyo yatakayokufanya kupambana zaidi, hutolala, utapambana usiku na mchana ila ukiweka lengo dogo, utasema subiri upumzike kwani lengo hilo litakuja hata kama hutojitoa, hivyo ili ufanikiwe, jiwekee lengo kubwa na hakika utapiga hatua.
Mfano mzuri mimi. Sikuwa na fedha kipindi cha nyuma, ishu ya kuanzisha magazeti ilihitaji msingi mkubwa sana, ila sikutaka kukwepa lengo langu la kufanya hivyo. Ningeweza kusema niuze machungwa mitaani, kweli ningeuza, lakini kwa nini niweke lengo dogo? Je ningejitoa zaidi? Ili nijitoe, ili nifanye kazi usiku na mchana ilikuwa ni lazima niweke lengo kubwa, nikaweka, nikajitoa na kufanikiwa. Kama Shigongo, yule mtoto masikini ameweza, vipi kuhusu wewe?

2. USIOGOPE KUFELI
 Ndiyo! Kuna watu waoga sana, wanaogopa kufanya biashara fulani kubwa kwa kuwa wanaogopa kuanguka. Rafiki yangu, kuanguka ni sehemu moja ya maisha, ili usonge mbele ni lazima uanguke. Huwezi kujua kuendesha baiskeli kama hujaanguka, ni lazima uanguke ili ujue, iko hivyo.
Mtoto anapoanza kutembea, kuna kipindi anaanguka, mbona yeye hakati tamaa na kusema kwamba kuanzia leo hatembei tena kisa ameanguka? Akianguka, hunyanyuka na kutembea tena, akianguka anajaribu tena.
Wewe kama mfanyabiashara mdogo au mkubwa, jifanye mtoto, usiogope kufeli, ili usonge mbele, ni lazima ufeli, huwezi kuwa mshindi siku zote, kuna kipindi unashindwa, ukishindwa, unakaa chini na kuwaza umeshindwa wapi, unajipanga na kurudi tena kwenye gemu.
Kama ningekuwa naogopa kufeli, nakwambia ukweli kwamba nisingekuwa hapa, labda leo ningekuwa mtaani tu nafanya biashara ndogondogo, kuogopa kufeli kungenifanya niwe kulekule nilipokuwa nyuma. Ili ujifunze, ili upige hatua ni lazima ufeli, ukifeli, unajifunza na kusonga mbele.

3. WEKA UMAKINI NA FEDHA ZAKO
Siku zote nimekuwa nikiwaambia watu, si vizuri kutumia kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya unachoingiza. Mwingine ana biashara inaingiza elfu ishirini kwa siku, ila anataka kufanya matumizi yasiyokuwa na faida kwa kutumia elfu thelathini. Ndugu yangu! Huwezi kuishi kwa maisha haya halafu ukaja kufanikiwa. Unatakiwa kuwa makini na fedha zako.
Mwingine anasema, nimepata faida nyingi, acha nikale bata! Ndugu zangu, bata haziishi, kila siku zinaongezeka, baa hazifungwi, umezikuta na utaziacha, kumbi za starehe kila siku zinafunguliwa mpya.
Ithamini pesa yako, hata kama ni shilingi hamsini, ithamini. Unapokuwa na elfu moja, inayokamilisha hela hiyo ni shilingi hamsini, kama ukiwa na 950, huwezi kupata 1000 kama huna hamsini, kwa hiyo kwenye maisha yako ya kibiashara, hata shilingi 50 ni muhimu mno kwako.
Usiipuuzie fedha yoyote ile, panga matumizi yako ya kawaida, si muhimu sana kunywa soda kama huna sababu ya kufanya hivyo! Hakuna umuhimu wa kula chipsi kuku kama hakuna umuhimu wa kufanya hivyo! Kwani usipokula chipsi kuku utakufa? Kama una kiasi kidogo cha fedha basi hata matumizi ya fedha yako hakikisha yanakuwa madogo na si makubwa zaidi ya kile ulichokipata.

4. JENGA URAFIKI NA WENYE FEDHA
Hapa simaanishi kwamba wasiokuwa na fedha inabidi watengwe, hapana! Ila unatakiwa kuwa makini, ni vizuri kutengeneza marafiki wapya lakini inabidi uwe makini. Kabla ya kuwa nilivyo niliwahi kuwasikia watu wakisema unapoanza kufanikiwa unabadilika, nilipinga lakini nikaja kuona inawezekana.
Unapokuwa umefika hatua fulani, automatic unaanza kutafuta watu ambao wanaweza kukuvusha kutoka hapo ulipo, watu wenye uwezo wa kukufanya kufanikiwa zaidi. Kumbuka shuleni kwenu, ni wanafunzi wangapi waliokuwa na akili walikuwa marafiki wao kwa wao? Kwani hawakuwa marafiki zako pia, walikuwa marafiki zako ila wenyewe wakawa beneti, ipo hivyo.
Unapopata fedha, unapofanikiwa, jaribu kutengeneza ukaribu na watu waliofanikiwa, usiwaache wale wengine, kuwa nao ila usiwe nao beneti kupindukia, kama unaona mtu haeleweki, hana hamasa ya kukufanya kufanikiwa, kwa nini uwe naye beneti? Muache awe rafiki wa kupiga naye stori dakika kumi na kuondoka.
Unapokuwa siriazi kutafuta fedha, huna budi kuwatafuta waliofanikiwa, wakufundishe kwa nini wapo hapo, walipitia nyanja zipi mpaka kufanikiwa hivyo? Ni lazima ujifunze kupitia wao na hakika utafanikiwa.

5. USICHANGANYE BIASHARA NA URAFIKI/NDUGU
 Ndiyo! Wengi tunafeli hapa. Tunapopata nafasi ya kufanya biashara, wengi tunakosa kufanikiwa kwa sababu tu tumechanganya urafiki katika biashara. Biashara ndogo lakini bado unataka kukopesha, tena kwa watu ambao huna uhakika kama watakulipa.
Unapoanzisha biashara, wengi watakuja kukopa na si kununua, hebu jiulize, wakati hujaanzisha hiyo biashara, mbona hawakuwa wakienda kukopa sehemu nyingine? Jua sisi binadamu tuna makusudi, tunapomuona mtu ameanzisha biashara, mara nyingi tunataka kumuangusha chini ili tumcheke, tumdhihaki kwamba kiko wapi sasa! Unatakiwa kuwa makini sana, huu si muda wa kupeleka urafiki na undugu katika biashara. Unapoanzisha biashara na ikatokea umemuajiri ndugu yako, mwambie wazi kwamba upo kama mfanyabiashara na si kama ndugu, anapofanya makosa, mchukulie hatua kama unavyomchukulia mtu baki, ukimuacha kwa kuogopa lawama, huyohuyo baadaye atakuja kukucheka.
Unapoona una hamu ya kula chipsi, na wewe unaifanya biashara hiyo ya chipsi, nunua chipsi zako, si kwamba ni zako basi na wewe ule bure. Najua ni ngumu kwa watu wengine lakini inabidi ufanye hivyo ili kuifanya biashara yako isimame.
Leo unapouza chipsi na kula bure, amini kwamba kesho utataka uongeze na chipsi yai, keshokutwa chipsi samaki, sasa ukifanya hivyo, hutofanikiwa kwa hiyo ni lazima hata wewe mwenyewe ujidai.
Sina mengi, ila tukutane muda mwingine kwa makala nyingine ya ujasiriamali. Kumbuka, wewe ni bilionea, fanya mambo kama bilionea.

Lowassa amtathimini Mh. Magufuli




Mbunge wa Monduli Edward Lowassa
EDWARD Lowassa, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania amesema kuwa, staili ya utawala wa Rais John Magufuli ni ya hamasa na kwamba, atakuwa maarufu kwa kipindi kifupi, anaandika Faki Sosi.

''Akizungumza na wanzuoni kutoka ndani na nje ya nchi nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam jana Lowassa amesema, pamoja na hamasa anayofanya Rais Magufuli tangu aingie madarakani, haoni mafanikio ya uchumi wa taifa hili katika siku zijazo''

Miongoni mwa mambo ambayo Lowassa amesema yanamshangaza kwenye utawala wa Rais John Magufuli ni kuingilia hatua ya ugawaji fedha hivyo kupuuza chombo chenye mamlaka hayo ambacho ni bunge.

“Kazi ya rais si kugawa fedha, kazi hii hufanywa na bunge kwa kuwa ndio yenye mamlaka ya kuidhinisha bajeti,” amesema.
Lowassa ambaye alikuwa mgombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka jana kupitia Chadema na kuungwa mkono na Ukawa amewaeleza wanazuoni hao walioongozwa na Profesa Lwekeza Mukandala, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwamba, hatua ya utumbuaji majipu inayofanywa na Rais Magufuli kabla ya kujiridhisha ina kasoro.

“Nasononeshwa ninapoona wafanyakazi wa mashirika na taasisi za umma wanaachishwa kazi bila utaratibu,” amesema.
Lowassa amesema kuwa, wakati Rais Magufuli akijinasibu kwamba anataka nchi ya viwanda, hali hio ni ngumu kufikiwa iwapo serikali yake itakosa ‘sapoti’ kutoka kwenye mataifa mengine ikiwemo Marekani.
Amesema hatua ya mataifa mbalimbali duniani kuisitishia misaada Tanzania ni pigo na maumivu makubwa katika uchumi wake.
“Wahisani si watu wa kuwabeza…, wanaweza kuturudisha nyuma, Jakaya (Rais Jakaya Kikwete) kwa kaisi fulani alijitahidi kidogo kuwavutia wawekezaji,” amesema.
Katika mazungumzo hayo Lowassa liwaambia wanazuoni hao kwamba, kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, upinzani ulishinda lakini Chama Cha Mainduzi (CCM) kilisaidiwa na vyombo vya dola.